Mwaliko wa Krismasi wa Kidijitali
Chagua muundo, jaza taarifa za tukio, lipa kwa simu na upate link ya kushiriki WhatsApp yenye RSVP kwa wageni wako.
Animated Wedding Card
TZS 10000
Christmas Red Bonnet Card
TZS 10000
Flowerlyyy
TZS 7000
Gold Butterfly Wedding Card
TZS 10000
Maswali ya mara kwa mara
Mwaliko wa Krismasi wa kidijitali ni nini?
Ni ukurasa maalum wa tukio lako wenye majina, tarehe, ukumbi, RSVP na picha ya kupakua, unaoshirikiwa kwa link ya WhatsApp.
Nalipaje?
Unatuma malipo kwa namba ya simu inayoonyeshwa, kisha mwaliko unafunguka mara malipo yanapothibitishwa.
Naweza kubadili taarifa baada ya kulipa?
Ndiyo, unatuma ombi la marekebisho na tunalifanyia kazi haraka.
