Muundo huu unalindwa. Lipia mwaliko wako ili kuupakua kwa ubora kamili.

Hova EventsHova Events
EN

Mwaliko wa Pasaka wa Kidijitali

Chagua muundo, jaza taarifa za tukio, lipa kwa simu na upate link ya kushiriki WhatsApp yenye RSVP kwa wageni wako.

Maswali ya mara kwa mara

Mwaliko wa Pasaka wa kidijitali ni nini?

Ni ukurasa maalum wa tukio lako wenye majina, tarehe, ukumbi, RSVP na picha ya kupakua, unaoshirikiwa kwa link ya WhatsApp.

Nalipaje?

Unatuma malipo kwa namba ya simu inayoonyeshwa, kisha mwaliko unafunguka mara malipo yanapothibitishwa.

Naweza kubadili taarifa baada ya kulipa?

Ndiyo, unatuma ombi la marekebisho na tunalifanyia kazi haraka.