Kamati Pekee
Anza kamati ya tukio lako
Dashibodi kamili ya hazina: ahadi, michango, matumizi, vikao na ripoti ya Excel. Malipo mara moja, bila kulazimika kununua mwaliko. TZS 40000
Baada ya muda wa tukio kuisha unaweza kuendelea kwa usajili wa mwezi kwa TZS 38000, ambao unakupa matukio mengi na taarifa zinazobaki.
%
Okoa ukichukua pamoja na mwaliko
Ukianza na mwaliko wa kidijitali, kifurushi cha kamati kinaongezwa palepale kwenye oda moja, mwaliko + kamati + RSVP + QR check-in.
Tazama Miundo ya Mialiko