Mwaliko wa Mapokezi wa Kidijitali
Chagua muundo, jaza taarifa za tukio, lipa kwa simu na upate link ya kushiriki WhatsApp yenye RSVP kwa wageni wako.
Miundo ya aina hii inakuja hivi karibuni.
Maswali ya mara kwa mara
Mwaliko wa Mapokezi wa kidijitali ni nini?
Ni ukurasa maalum wa tukio lako wenye majina, tarehe, ukumbi, RSVP na picha ya kupakua, unaoshirikiwa kwa link ya WhatsApp.
Nalipaje?
Unatuma malipo kwa namba ya simu inayoonyeshwa, kisha mwaliko unafunguka mara malipo yanapothibitishwa.
Naweza kubadili taarifa baada ya kulipa?
Ndiyo, unatuma ombi la marekebisho na tunalifanyia kazi haraka.
